IBADA YA JUMAPILI 19/10/2014
Pastor Sosthenes akifundisha katika ibada hiyo





     Mama Benyamin akimshukuru Mungu kwa uponyaji wa tumbo na kutopata mtoto kwa muda     mrefu,baada ya maombi Mungu alimfungua na amepata mtoto.
Mwalimu Pendo akimshukuru Mungu kwa kupata nyumba ya kuishi ya Serikali katika shule anayofundisha.
Mtumishi Luckson akihudumu




Comments