IBADA YA JUMAPILI 1/2/2015

 Mama Palvin akishuhudia jinsi Mungu alivyowakoa na kibaka aliyeingia nyumbani kwao usiku
 Mama Lucy akishuhudia jinsi Mungu alivyomponya na maumivu kwenye bega na mbavu mala baada ya maombi
Mama Massi akimshukuru Mungu kwa afya nzuri aliyompatia
Muimbaji wa nyimbo za injili Beatrice Mwaipanya akihudumu


Pastor Sosothenes akifundisha kwa mifano,hapa akimtolea mfano kijana Gayos jinsi ambavyo Neno la Mungu limembadilisha,alipokuja mahali hapa (akitokea South Africa) alikuwa kama"teja", kwasasa ni kijana mwenye heshima zake,ameajiliwa,ameshatoka kwa wazazi na kupanga numba ya vyumba viwili,amesha anzisha biashara nyingine zaidi ya kazi anayofanya na kuajili vijana wa kusimamia huku yeye akiendelea na kazi zake.
Pastor Sosthenes akitolea mfano jinsi Neno la Mungu lilivyo mbadilisha kijana Erick,alikuja mahalihapa akiwa na matatizo ya maumivu ya miguu, Mungu alimponya na kubariki maisha yake,kwasasa anafanya biashara zake na ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa kwa mafanikio makubwa,sasa anamiliki BMW.

Comments