IBADA YA SHUKRANI 29/11/2015
                                           Pastor Sosthenes akifundisha katika ibada hiyo.
 Mtumishi Amani Katala akiongoza maombi ya shukrani
 Mtumishi Juliana akiongoza maombi ya shukrani katika ibada hiyo
 Mama Mchungaji akiwaongoza washirika kumshukuru Mungu katika ibada hiyo.
 Mchungaji Sosthenes akiwatamburisha baadhi ya watu alioanza nao huduma

Picha juu na chini; Pastor akiwapongeza baadhi ya watu alioanza nao huduma.
 Mchungaji na Familia yake wakimshukuru Mungu kwa mambo makubwa aliyoyafaya katika familia yao.
 Mr & Mrs. David  Kapuya wakimshukuru Mungu kwa mambo ya ajabu aliyowafanyia katika familia yao tangu walipojiambatanisha na huduma hii.

















Comments