WORD OF THE DAY
















Neno la siku kutoka kwa Mch. Sosthenes Christopher

Maana,tazama,nimekufanya leo kuwa mji wenye boma,na nguzo za chuma,na kuta za shaba;......Nao watapigana nawe;lakini hawatakushinda;maana mimi nipo pamoja nawe,asema Bwana,ili nikuokoe.
Yeremia 1:18-  19 

Mungu kwa uaminifu wake,amenena ya kwamba atakulinda,jua kwa hakika yeyote au chochote kishindanacho nawe,hakika hakitaweza kukushinda,wewe umeandikiwa ushindi,kiuhalisia wewe ni mshindi na zaidi ya mshindi.(Warumi 8:37;2corintho 2:114).Naona yale magonjwa,umaskini,Lana na vifungo mbalimbali vya adui vikiharibika mbele zako. stay blessed.

Comments