IBADA YA JUMAPILI 17/11/2013

Mch. Kiongozi Sosthenes Christopher

Akihubiri kanisani hapo LGC, Mch. Sostheness aliendelea kusistizia kuhusu nguvu ya kuishi maisha ya shukrani pamoja na siri zake.

" Sisi kama wakristo tunatakiwa kuishi maisha ya shukrani ili kuendelea kumkaribisha Mungu katika maisha yetu.

Zaburi 55:17

Tunatakiwa kumshukuru mungu kwa vitu vifuatavyo,
1. kwa maneno:
2. Kwa kumwimbia
3. Kwa kunena kwa lugha
4. Kwa kumtolea dhabihu






Marko 6:52
Waebrania13:15
1 wakorintho 14:17 

Akiendelea kuhubiri kanisani hapo, Mchu. Sosthenes alisisitiza kwamba ni mhimu kwa wakristo wote kutambua madui 3 wanaozuiya maisha ya shukrani:

1. Kutiridhika, 1 Thimothe 6:6-7
2. Manung'uniko/ Malalamiko 1 Wakorintho 10:10
3. Kiburi

Mch. Sosthenes alisema pia ni muhimu sana kutambua majina ya Mungu kusudi tuweze kuzitumia katika maombi:


- Jehova Nisi     : Mungu mshindi wangu
- Jehova Rapha : Mungu mponyaji
- Jehova Ire       : Mungu mtoaji
- Jehova sedekem: Mungu haki yangu
- Jehova Shalom  : Mungu amani yangu
- Jehova Rohi      : Mungu mchungaji wangu
- Jehova Elhai      : Mungu aliye hai
- Jehova El kanan : Mungu mwenye wivu
- Jehova El hanun : Mungu mwenye rehema

kwa kutumia majina ya Mungu kweli maombi yetu yatajibiwa kulingana na mahitaji yetu.

Comments

  1. Wote mnakaribishwa Life Giving Church (LGC) kupata huduma ya maombi na maombezi.

    ReplyDelete

Post a Comment