![]() |
Neno la siku kutoka kwa Mch. SOSTHENES CHRISTOPHER
Zaburi 67:5-7,
Neno la Mungu linatufundisha jinsi shukrani inavyoweza kuyafanya maisha ya yetu yatakavyokuwa na uzazi mwingi.Unapoishi maisha yaliyojawa na shukrani baraka ya Mungu inakuwa juu yako na Watu wote watauona utofauti wako nao watamcha Mungu wako.Chagua leo kuishi maisha haya ya shukrani.Katika njia zako zote mkiri na muungame yeye ya kwamba ndiye anayetenda katika maisha yako,kisha utaona anavyoyanyoosha mapito yako.

Comments
Post a Comment