Waumini wakishangilia wimbo wa papii band |
Muhubiri: Bishop Dr. Shemsanga
alishirikiana vema kabisa na Mwenyeji wake Pastor Sosthenes Christopher.
Kulikuwa na waimbaji kama: Jane miso, Papii band na wenyeji Life Givers worship team.
Ibada ilanza saa 4 asubuyi na kumalizika saa 9 na nusu mchana.
Waumini pamoja na Baba na Mama Mchungaji wakishiriki katika kipindi cha sifa |
Mtumishi Thomas akieleza kuhusu shuhuda mbalimbali
Ms David akimshukuru Mungu kwa kumponya na ugonjwa
wa kisukari uliomsumbua kwa kipindi cha miaka 3
|
Baadhi ya mashemasi LGC |
Watoto wakishiriki katika ibada |
Mchungaji Sosthenes akimtambulisha Mama Mchungaji kuwa ni msaidizi
wake mkuu katika huduma na bila yeye wala asingefika alipofikia leo hii
|
Bishop Dr. Shemsanga akihudumu |
Dr. Shemsanga akimchezea Mungu kupitia wimbo |
Comments
Post a Comment