Semina ya Neno la Mungu

Kanisa la Kijenge Lutheran tar Arusha tarehe 9 - 10 Novemba 2013.
Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kukamilisha vyema semina mkoani Mbeya na Iringa, tunawashukuru wote kwa maombi yenu kuhakikisha kusudi la Mungu linasimama.
Tarehe 09 - 10 Novemba yaani jumamosi hii na jumapili tutakuwa na semina katika usharika wa Kijenge hapa Arusha. Tunawakaribisa wote kujifunza neno la Mungu, semina hii pia itarushwa live kwenye internet kupitia tovuti hii na

Comments