Bishop Dr. Shemsanga
Aliye hudumu siku ya nne ya semina ya shukrani jumamosi 24/11/2013
aliendeleza soma la Nguvu ya Shukrani kama mada kuu ya semina.
Dr. Shemsanga alielezea kiundani na kitheologia maana halisi ya shukrani na kuelewesha namna ambavyo bibilia imeandikwa katika misingi mbalimbali;
- Mtoa sheria
- Wenye hekima
- Makuhani
- Watunga zaburi
Aliendelea zaidi kufafanua jinsi maisha ya shukrani ianpendezwa na Mungu na kutuweka katika mazingira mazuri kiroho na kiimani.
Bishop Dr. Shemsanga akiwanahubiri
Baba na Mama Mchungaji wakifuatilia mafundisho
Dr. Shemsanga akifundisha kwa vitendo zaidi kama mwalimu
Comments
Post a Comment