Pastor Simon Pandulla
Ambaye ni miongoni mwa wahubiri 3wa semina, akihubiri kanisani hapo alhamisi 21/11/2013, siku ya pili ya semina ya shukrani.
Mch. Simon alizidi kuongelea kuhusu Nguvu ya Shukrani kama mada kuu ya semina, alisema:
"Tunatakiwa tunatakiwa kufaham na kutambua vipengele muhimu vya shukrani ambavyo ni:
- kufaham
- kuheshim
- kutambua
- kuonyesha
- kukumbuka
- kulipa fadhila
Mch. Simon aliuliza swali kwamba watu wangapi tunaowakumbuka waliochangia kwa namna mmoja au nyingine kutufikisha mahali tulipo sasa? Na je baada ya kuwakumbuka tulisha wahi kuwasiliana nao angalau kuwambia asante?
" hata yule aliyekupa 1000 /= ulipokuwa huna na ulihitaji sana, alikusaidia kikubwa na kukufikisah hapo ulipo na huwezi kumrudishia kwa kiwango kile hata ukimpa leo hii laki mmoja, bado hujafikia kiwango, alisema Mch. Simon na alielezea mgawanyiko wa asante ya kushukuru:

2. kutoa asante na kushukuru kabla ya kitendo kufanyika
* 1 Wathesalonike 5:6
* 2 Mambo ya nyakati 29:31
* 1 Samweli1:10-20


Timu ya kusifu na kuabudu LGC
wakiwa wakihudumu kanisani hapo kwenye siku ya pili
ya semina ya shukrani.
Chini kulia ni Mch. Sosthenes na waumini wakiwa katika
maombi ya shukrani.
Comments
Post a Comment