Akiendelea na somo: Nguvu ya shukrani, Pastor Simon Pandulla aliendelea kuweka msingi wa kushukuru kwa wakristo na pia kufafanua kwa jinsi gani tunatakiwa kushukuru.
Mch. Simon aliendelea kusisitiza kwamba sisi wakristo tunatakiwa kujenga tabia ya kumshukuru Mungu kabla hata ya kutendewa maajabu.
Baada ya mahubiri Mch. Pandulla alifanya maombi kwa wale wote waliokuja kutoa sadaka zao za shukrani kama namna ya kujenga tabia ya kumshukuru Mungu kabla hujajibiwa kulingana na maombi yako,
Pia aliombea Mchungaji Sostheness na viongozi wa kanisa pamoja na kanisa kwa ujumla.
Pastor Sosthenes pamoja na Pastor Pandulla
Waumini wakiwa katika maombi
Mch. Simon akiwaombea waliokuja kutoa shukrani zao
Timu ya kusifuna kuabudu wakiwa katika huduma
Comments
Post a Comment