Mchungaji kiongozi Sosthenes Christopher akiwa nahubiri kanisani hapo kwenye ibada ya X-mas alisema kwamba wakristo tunatakiwa kukumbuka siku ya kuzaliwa kwa yesu na kuendelea kumpa nafasi katika maisha yetu ya kila siku.
| Timu ya waimbaji wakiwa katika huduma Life givers Singers wakiimba wimbo wa Shangwe kwa kuzaliwa kwa Yesu kristo |
| Mchungaji akiwa nagawa zawadi kwa waumini |
| Katika kushiriki kwenye kipindi cha keki |
Picha ya familia ya Mchungaji na baadhi ya waumini baada ya Ibada
Comments
Post a Comment