Dada Bahati
Alishambuliwa na maumivu makali ya mwili; alikuwa katika hali mbaya sana ikiambatana na kizunguzungu na kutoweza kutembea.
Baada ya kupimwa hospitali na daktari aliambiwa amepungukiwa na damu lakini baada ya maombi ya mambi ya ijumaa aliponywa kabisa hadi sasa ni mzima.
Mr. Jofrey
Siku mmoja mtoto wake mdogo aliingia katika uvungu wa gari na hakuna mtu aliemuona, hivyo dereva alipanda kwenye gari hilo na kuwasha gari na kutaka kuondoka lakini kwa neema ya mungu kabla ya kuondoka alishuka tena ndipo alimuona mtoto huyu chini ya gari na kumtoa.
" Ukweli ukimtumikia mungu kuwalinda watu wake siku zote na kuwaepusha na mabaya yote" alisema Mr Jofrey.
Familia ya ndugu Frank Joseph
Mtoto wao alishambuliwa na ugonjwa ghafla kila akila chakula alikuwa na tapika na hata kusababisha kupoteza nguvu.Ndipo wazazi wake walipompeleka hospitali,lakini hali ilizidi kuwa mbaya.Ndipo wakachukua hatua ya kumleta ktk maombi (LGC) siku ileile baada ya
maombi ,alianza kula vizuri na hakutapika tena hata sasa ni mzima.
,
Tatizo la mapafu/kutopumua vizuri,alipofanyiwa vipimo yaani X-RAY.Daktari akasema mapafu yana ukungu.Lakini alichukua uamuzi wa kusafiri kuja Dar-es salaam katika kanisa hili la (LGC) alipofanyiwa maombi alipona kabisa hadi sasa ni mzima. .
Mama Happiness
Huyu mama alikuwa na mataizo yafuatayo: kutosikia njaa hata asipokula kwa mda mrefu.Tatizo la moyo hata baada ya kumpima hospitalini.Daktari alimwambia mshipa mmoja wa moyo umepasuka ndipo alipochukua hatua ya kuja kuombewa na mtumishi wa Mungu (LGC) Mungu alimponya kabisa sasa anakula vizuri na hana tatizo la moyo tena na anakula vizuri.
Alishambuliwa na maumivu makali ya mwili; alikuwa katika hali mbaya sana ikiambatana na kizunguzungu na kutoweza kutembea.
Baada ya kupimwa hospitali na daktari aliambiwa amepungukiwa na damu lakini baada ya maombi ya mambi ya ijumaa aliponywa kabisa hadi sasa ni mzima.
Mr. Jofrey
Siku mmoja mtoto wake mdogo aliingia katika uvungu wa gari na hakuna mtu aliemuona, hivyo dereva alipanda kwenye gari hilo na kuwasha gari na kutaka kuondoka lakini kwa neema ya mungu kabla ya kuondoka alishuka tena ndipo alimuona mtoto huyu chini ya gari na kumtoa.
" Ukweli ukimtumikia mungu kuwalinda watu wake siku zote na kuwaepusha na mabaya yote" alisema Mr Jofrey.
Familia ya ndugu Frank Joseph
Mtoto wao alishambuliwa na ugonjwa ghafla kila akila chakula alikuwa na tapika na hata kusababisha kupoteza nguvu.Ndipo wazazi wake walipompeleka hospitali,lakini hali ilizidi kuwa mbaya.Ndipo wakachukua hatua ya kumleta ktk maombi (LGC) siku ileile baada ya
maombi ,alianza kula vizuri na hakutapika tena hata sasa ni mzima.
,
Dada Doroth
dada huyu ni mwenyeji wa mkoa wa Tabora wilayani Igunga alikuwa na matatizo yafuatayo:-
Maumivu ya miguu kwa miaka 6 bila kukoma.Tatizo la mapafu/kutopumua vizuri,alipofanyiwa vipimo yaani X-RAY.Daktari akasema mapafu yana ukungu.Lakini alichukua uamuzi wa kusafiri kuja Dar-es salaam katika kanisa hili la (LGC) alipofanyiwa maombi alipona kabisa hadi sasa ni mzima. .
Mama Happiness
Huyu mama alikuwa na mataizo yafuatayo: kutosikia njaa hata asipokula kwa mda mrefu.Tatizo la moyo hata baada ya kumpima hospitalini.Daktari alimwambia mshipa mmoja wa moyo umepasuka ndipo alipochukua hatua ya kuja kuombewa na mtumishi wa Mungu (LGC) Mungu alimponya kabisa sasa anakula vizuri na hana tatizo la moyo tena na anakula vizuri.
Comments
Post a Comment