KUVIKWA KIBALI KWA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU:
Luka 1:26-38,46-48.
Twaweza sema kibali ni Kama sumaku ya kiroho inayovuta rasilimali(resources),inayovuta watu(personalities)na inayovuta mianya ya mafanikio(opportunities).
What favour can do:
1.It by passes physical laws to produce heavenly products.
-Mariam akasema,litakuwaje neno hili,maana sijui mume? Luka 1:34
2.kutambulika na kukubalika
-Luka 1:48
3.ushindi kinyume cha adui
-Zaburi 44:1-3
Jinsi ya kukichochea katika maisha:
1.kuwa tayari kutumiwa na Mungu(availability).
-...tazama mimi ni mjakazi wa Bwana,iwe kwangu kama ulivyosema-Luka 1:38
2.Usafi na mwenendo mwema
-Luka 1:27...alikuwa bikira,iliyo ishara ya purity.
3.Jua kwamba unacho kibali
-Luka 1:46-48
-Mithali 23:7a
4.Unyenyekevu wa moyo
-Luka 1:48...ameutazama unyonge wa mjakazi wake.
 |
Pastor Sosthenes akiendelea na mahubiri
Shemasi Siston akiwa katika huduma
Baadhi ya waumini wakisikiliza kwa umakini mahubiri
Ibada ikiendelea Kanisani
Mchungaji akifanya maombi
Mchungaji akisalimiana na washirika baada ya Ibada.
|
Tunamshukuru Mungu kwa ibada nzuri.
ReplyDelete