Mch. Sostheness akihubiri alielezea kuhusu mahusiano ambayo tunatakiwa kuwa nayo na roho mtakatifu ili tuweze kumjua na kutoa majibu sahihi kuhusiana na roho mtakatifu
" Kama wakristo, tunatakiwa kuwa na mahusiano mazuri na roho mtakatifu ilituweze kufaham ni nani;
Tunatakiwa kujua kwamba roho mtakatifu ni mtu na tunavyo faham kwa kuwa mtu sio lazima kuwa na mwili kwasababu mwili hutumika kama hekalu tu.
Tunatambua kuwa ili mtu aitwe mtu anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo: - Akili na ufahamu
- Utashi
- Hisia
Na hizo sifa zote anazo roho mtakatifu, kwa hiyo basi roho mtakatifu ni mtu kamili.
Kama wakristo tunatakiwa kuwa na mahusiano ya karibu sana na roho mtakatifu na mahusiano haya tunayapata kwa njia ya maombi na neno la Mungu.
Matokeo ya kuwa na mahusiano mazuri na roho mtakatifu/ Results of being in good relation with the holly spirit:
- Ushindi (Victory)
- Ufunuo (revelation)
- Ulinzi (Protection)
- Upako (Anointing)
- Hamasa (Motivation)
- Ujasiri (Boldness)

Mch. Sostheness akiwa anaombea sadaka ya shukrani |
Mchungaji akiongoza maombi ya pamoja |
Mchungaji akitangaza ndoa kwa mara ya kwanza ya
ndugu Leonard Kobelo pamoja na kuwaombea
|
Waumini wakisikiliza kwa umakini mahubiri Picha za Mchungaji akiendelea na huduma za maombezi |
Bwana YESU Asifiwe Hongereni sana kwa kazi ya Mungu. Nimebarikiwa sana na somo hili kweli Mungu akubariki sana na azidi kukuinua nishauri jambo moja kwa mwandishi sehemu za jina la Roho Mtakatifu ziandikwe kwa herufi kubwa ili kutoa heshima stahiki.Mungu awabariki kwa kazi hii ni njema sana.
ReplyDelete