IBADA YA JUMAPILI 16/02/2014























SOMO KUU
NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU:
Mathayo 28:18
Bwana Yesu alisema nimepewa mamlaka yote...'All power is given unto me...'
Hivyo Roho ayachukuaye ya Kristo(Yohana 16:14-15),huzifunua nguvu zake kwetu.Na ili tutembee katika nguvu hizo,lazima tujitiishe na kujinyenyekeza chini yake.
Kuna maneno kadhaa ya kiyunani yanayoelezea nguvu za Mungu.
1. ARCHE.
-Neno hili linaelezea udhihirisho wa nguvu za Roho Mtakatifu katika uumbaji.kuumbwa kwa kitu mahali pasipokuwepo na kitu.
-Ni nguvu ya uumbaji ya Mungu.
Waweza iona wazi wazi:
A: Wakati wa kuumbwa kwa ulimwengu.
Mwanzo 1:2-3
Yohana 1:1-3
Waebrania 11:3.
B: kuzaliwa kwa Yesu-Incarnation
Luka 1:35
Waebrania 10:5
Yohana 1:14
C: kuzaliwa Mara ya pili
            1Petro 1:23
            2Corintho 5:17
Yote hufanyika kwa nguvu ya Neno litamkwalo ambalo Roho Mtakatifu hulidhihirisha.
2. ISCHUS
Hii ni nguvu kuu ya Roho Mtakatifu inayopenya kila nguvu ya upinzani na vizuizi.
-Matendo ya mitume 19:20

Pastor Sostheness akiwa naombea na Kubariki Meza ya Bwana

Katika kushiriki Meza ya Bwana


Kipindi cha maombi

Pastor Sostheness akiwapiga picha Vijana wake (Life Givers Singers) Wakiwa katika huduma

Life Givers Singers wakihudumu
Kutoka Kushoto:
Maxwell, Mwalimu Nimrod, Mtumishi Elisha, Mtumishi Thomas, Dada Hawa, Eliza, Merina, Sabrina and Jackline.

Comments