IBADA YA JUMAPILI 23/3/2014

SOMO: KUVUNJA LAANA YA VIZAZI


Laana ni halisi kama vile Baraka ilivyo halisi. Laana juu ya mtu yaweza zuia hata mtembeo wa Roho Mtakatifu juu ya yake.
Kutoka 20:5
Neno hili linasema dhahili uovu wa baba zetu hupatilizwa hata kizazi cha tatu hadi cha nne.
Njia ya msingi ya kupona na laana hii ni kuhama toka mlima wa laana na kwenda mlima wa Baraka. Kumbukumbu la tolati 11:29.
Ili nihame toka Gerizim kwenda Ebali natakiwa kuokoka,yaani Yesu afanyike Bwana wa maisha yangu.Na hii ni rahisi tu kama utaamini,Warumi10:9-10.
Laa


Mchungaji akifundisha katika ibada hiyo. 

Mara baada ya kuokoka unapaswa kuzivaa silaha za nuru(Warumi 13;12).
Watu wa Mungu huangamia kwa kukosa maarifa.Hosea 4;6;Zaburi 82;5-7;Isaya 5:13.
Unapoijua kweli vifungo vya laana ya vizazi huvunjika na haina nguvu juu yako.
KWELI TATU MUHIMU:
1.UMEKOMBOLEWA:
   -Bwana alilipa gharama kutununua toka chini ya laana ya vizazi.
    Ufunuo wa Yohana 5:9-10
   -1Petro 1:18-19
   -Waefeso 2:6;Waefeso 1:21
2.UPO KATIKA AGANO LA IBRAHIMU:
   -Wagalatia 3:13-14,29
   -Mwanzo 17:6
   -Mwanzo 22:16-18
3.NGUVU YA UNABII:
   Unabii unaonyesha nipo juu.Siwezi kutawaliwa na mambo manyonge tena.
   -Isaya 2;1-3
   -Mika 4;1-2.
Hizi ni silaha za nuru,pindi uzitumiapo hakuna giza litakaloshika maisha yako ikiwemo laana ya vizazi.
UMEBARIKIWA.

Mchungaji akiwaongoza sala ya toba walioamua kumpa Yesu maisha yao
    Habari kwanjia ya picha




Comments