IBADA YA VIJANA 30/3/2014
HABARI KATIKA PICHA
HABARI KATIKA PICHA
| Mtumishi Siston akihudumu siku ya ibada iliyoongozwa na vijana. |
| Mchungaji na Mama Mchungaji wakifuatilia kwa makini. |
| Mtumishi Kazaura akitoa neno la Sadaka |
| Mgeni, Mchungaji Beatrice Mmasi kutoka Living Water Centre- Tanga akisalimia Kanisa |
| Mtumishi David akiwasilisha mada juu ya mradi ambao Kanisa linatarajia kuuanza |
| Mhubiri wa siku ya vijana ambaye pia ni mwenyekiti wa vijana, Joseph akihubiri |
| Mchungaji akiombea watoto katika ibada hiyo. |
| Mchungaji akiomba kwaajili ya vijana na kanisa kwa ujumla wakati akihitimisha ibada hiyo |
Comments
Post a Comment