IBADA YA JUMAPILI 27/7/2014
Habari kwanjia ya picha
 |
Pastor Sosthenes Christopher akifundisha katika ibada hiyo. |
 |
Dada Dainess akishuhudia jinsi Mungu alivyo mponya na kichomi kilichomsumbua kwa miezi miwili, alipata matibabu hospitali kwa kuchomwa sindano nne za crystapen na kumeza vidonge kwa muda wa miezi miwili bila mafanikio. Baada ya kuombewa na Mchungaji, Bwana Yesu amemponya,kichomi kimetoweka, sasa ni mzima kabisa. |
 |
Elizaberth akishuhudia baada jinsi akivyoponywa malaria |
 |
Dada Magreth Athumani akishuhudia jinsi Yesu alivyo mponya na maumivu chini ya mbavu |
 |
Juu, Mchungaji akiwa anaendelea na mafundisho. Chini,washilika wakisikiliza mafundisho kwa umakini |
 |
Watu wakishiriki meza ya Bwana |
Comments
Post a Comment