Pastor Sosthenes akifundisha katika ibada hiyo.
HEALING FROM THE INSIDE:
...safisha
ndani na tazama yote yanakuwa safi
...uso
wake ukabadilika...
...He
is the life giving spirit...
...Rom
8:11
THE
MIGHTY WORKING POWER IN US:
Eph
3:20.
Basi
atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au
tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu;
-There
is a mighty working power in us, e.i from within.
-What
we carry in our inside is bigger than ourselves,bigger than the world
...kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu. (LK. 17:21)
-The
recreated man makes the king and His kingdom to abide in us.
Yesu
akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu
atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake. (YN. 14:23).
...kama
Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami
nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. (2 KOR. 6:16).
-When
this understanding comes to light,you start operating in stranger
Dimension of the Spirit.
-Master
key is Self discovering
Kwa
maana ikiwa kwa kukosa mtu mmoja mauti ilitawala kwa sababu ya yule mmoja,
zaidi sana wao wapokeao wingi wa neema, na kile kipawa cha haki, watatawala
katika uzima kwa yule mmoja, Yesu Kristo. (RUM. 5:17).
ili
kwamba ushirika wa imani yako ufanye kazi yake, katika ujuzi wa kila kitu chema
kilicho kwetu, katika Kristo. (FLM. 1:6).
-Basi
atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au
tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu; (EFE. 3:20).
-This
power can subdue all oppression
of the enemy.
Lakini
nalimwangamiza Mwamori mbele yao, ambaye urefu wake ulikuwa kama urefu wa
mierezi, tena alikuwa na nguvu kama mialoni; lakini naliyaangamiza matunda yake
toka juu, na mizizi yake toka chini. (AMO. 2:9).
Tazameni,
nitawalemea ninyi, Kama gari lilemeavyo lililojaa miganda. Naye apigaye mbio
atapotewa na kimbilio; Wala aliye hodari hataongeza nguvu zake; Wala shujaa
hatajiokoa nafsi yake; Wala apindaye upinde hatasimama; Wala aliye mwepesi wa
miguu hataokoka; Wala apandaye farasi hatajiokoa nafsi yake; Naye mwenye moyo
mkuu miongoni mwa mashujaa Atakimbia uchi siku ile, asema BWANA. (AMO.
2:13-16).
-More
than what we ask or think...
.This
power is released on this foundation
HOW
JESUS WALKED IN POWER:
WORDS:-what
words.
Kwa
sababu mimi sikunena kwa nafsi yangu tu; bali Baba aliyenipeleka, yeye mwenyewe
ameniagiza nitakayonena na nitakayosema. Nami najua ya kuwa agizo lake ni uzima
wa milele; basi hayo ninenayo mimi, kama Baba alivyoniambia, ndivyo ninenavyo.
(YN. 12:49, 50).
THOUGHTS:
Basi
Yesu alipoinua macho yake akaona mkutano mkuu wanakuja kwake, alimwambia
Filipo, Tununue wapi mikate, ili hawa wapate kula? Na hilo alilinena ili
kumjaribu; kwa maana alijua mwenyewe atakalotenda. (YN. 6:5, 6).
Maana
aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo.(MIT. 23:7a)
-Think
according to the word
Na
Petro alikuwa akiyafikiri yale maono. Roho akamwambia,...(MDO 10:19)
-Think
possibilities
THOUGHT
PATTERN:
Hatimaye,
ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote
yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye
sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini
hayo. (FLP. 4:8).
-Don't
leave your mind idle-learn it
|
Comments
Post a Comment