IBADA YA JUMAPILI 21/9/2014

SOMO: LIFE THAT IS FAR FROM OPPRESSION
Utathibitika katika haki; utakuwa mbali na kuonewa, kwa maana hutaogopa; na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia. (ISA. 54:14).
Mama Edmund akimshukuru Mungu kwa kumsafirisha salama katika safari yake ya Finland
Dada Grace akishuhudia jinsi Mungu alivyomponya na maumivu ya tumbo baada ya kuombewa na mchungaji.
Juu, Mr. Alphonce Mwanakatwe akimshukuru Mungu kwa uponyaji wa mgongo na baraka ambazo Mungu anaziachilia katika familia yake. Chini, Alphonce akiwa na mkewake pamoja na kaka yake wakishukuru jinsi ambavyo Mungu amerejesha mahusiano mema katika familia ya Mwanakatwe.

Juu,Gayos akimshukuru Mungu kwa kumrudisha salama kutoka South Africa ambapo alinusulika kuuwawa zaidi ya mara moja na makundi mabaya ya vijana wa South. Chini mama mzazi pamoja na familia wakisikiliza kwamakini.

Mchungaji Peter pamoja na mkewake wakihudumu katika ibada hiyo.


Mtumishi Luckson akihudumu katika ibada hiyo.
Charles akiwa na mkewe Rovitha kabla ya mtoto wao kuwekwa wakfu
Pastor Sosthenes akimuweka wakfu mtoto Messi


LIGHT OUT OF DARKNESS: (Nuru iangazayo gizani)

-Being far from oppression is as a result of being established in righteousness.
 i.e what it is and what it offers.

-So we must bother to know this truth.
-Many are confusing it with good works, but good works are the fruits of it.
  .It is the life of God, is His nature.
Ex:

-Are you righteous?

  • I am trying

-Are you  man or woman?

  •  I am a man

-How did you get that way?

  •  I was born that way

-That is the way you got righteousness.

-Spiritually, you have born that way.

Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu. (YN. 1:12, 13).
  .kwa namna ya Mungu,kwa njia ya Mungu,kwa mfano na sura yake.
Kwa kuwa mmezaliwa mara ya pili; si kwa mbegu iharibikayo, bali kwa ile isiyoharibika; kwa neno la Mungu lenye uzima, lidumulo hata milele. (1 PET. 1:23).
Operating in the fourth dimension:
-You are not responding to the challenges of life from the 1st or 2nd or 3rd dimensions, but from the 4th dimension.
Yeye ajaye kutoka juu, huyo yu juu ya yote. Yeye aliye wa dunia, asili yake ni ya dunia, naye anena mambo ya duniani. Yeye ajaye kutoka mbinguni yu juu ya yote. (YN. 3:31).
Akawaambia, Ninyi ni wa chini, mimi ni wa juu; ninyi ni wa ulimwengu huu, mimi si wa ulimwengu huu. (YN. 8:23).
 i.e operating from your regenerating spirit.
-From there, God has commanded light to shine out of darkness.
Kwa kuwa Mungu, aliyesema, Nuru itang’aa toka gizani, ndiye aliyeng’aa mioyoni mwetu, atupe nuru ya elimu ya utukufu wa Mungu katika uso wa Yesu Kristo. (2 KOR. 4:6).
  .The same ability is within us, to cause Light to shine out of darkness. E.g darkness of sickness.
How:
Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu. (YN. 1:9)
Hapo taa yake ilipomulika juu yangu kichwani, Nami nilitembea gizani kwa njia
 ya mwanga wake; (AYU. 29:3).
1.Mwanangu, sikiliza maneno yangu; Tega sikio lako, uzisikie kauli zangu. Zisiondoke machoni pako; Uzihifadhi ndani ya moyo wako. Maana ni uhai kwa wale wazipatao, Na afya ya mwili wao wote. (MIT. 4:20-22).
  .So pay attention to the word of God and be the doer of it.It carries power.
Nabii aliye na ndoto, na aseme ndoto yake; na yeye aliye na neno langu, na aseme neno langu kwa uaminifu. Makapi ni kitu gani kuliko ngano? Asema BWANA. Je! Neno langu si kama moto? Asema BWANA; na kama nyundo ivunjayo mawe vipande vipande? (YER. 23:28, 29).
Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo. (EBR. 4:12).
2.Lakini, ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu. (RUM. 8:11).

NOTE:
-Biology...life is transmitted through the blood.
 .Kwa kuwa uhai wa mwili u katika hiyo damu;...Lev.17:11.
-But when ur born again, life comes from your spirit.
Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa nafsi iliyo hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha. (1 KOR. 15:45).
-Rom 8:11...
.quicken=make alive, vitalize (give strength and energy to
By speaking in tongues,
Yeye anenaye kwa lugha hujijenga nafsi yake;... (1 KOR. 14:4)

Washirika wakifuatilia mafundisho kwa makini




Life givers praise team wakihudumu
Mchungaji akisalimiana na Mchungaji Peter na mkewe baada ya ibada.


Juu,Mchungaji akisalimiana na Mama mzazi wa Gayos. Chini,mchungaji akizungumza na wageni wake ofisini baada ya ibada.

Comments