Dada Joyce Makala akishuhidia jinsi Yesu alivyomponya na mateso ya maumivu ya tumbo kwenye siku zake,mguu na mkono vilivyomtesa kwa miaka mingi. Baada ya kuhangaika hospitali nyingi na kwa waganga wa kienyeji, alikutana na Yesu mahali hapa na akamponya kabisa,sasa ni mzima.
Washirika wakiwapongeza Kennedy na Yunicy kwa kutangaza uchumba na kuvalishana pete
FAR
FROM OPPRESSION:
-Key
to this truth is to be established in Rigtheousness.
-Righteousness
is the life of God, the Very nature of God.
-Salvation
qualifies you to enter in God's Class.
Hata
imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita
tazama! Yamekuwa mapya. (2 KOR. 5:17).
Bali
ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya
Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie
katika nuru yake ya ajabu; ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa
la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema. (1 PET. 2:9,
10).
CONSCIENCENESS
OF YOUR TRUE NATURE.
-The lion knows himself
Simba
aliye hodari kupita wanyama wote; Wala hajiepushi na aliye yote; (MIT.
30:30).Ndipo akawaambia hao Zeba na Salmuna, Hao watu mliowaua huko Tabori
walikuwa watu wa namna gani? Wakamjibu, Walikuwa kama wewe ulivyo; kila mmoja
alikuwa anafanana na wana wa mfalme. Naye akasema, Watu hao walikuwa ndugu
zangu, wana wa mamaangu mimi;... (AMU. 8:18, 19).
-what
we suffer today is the lack of the conscienceness of this truth.
-Train
your mind....
Wala
msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate
kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu. (RUM.
12:2).
mkavae
utu mpya, ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli. (EFE.
4:24).
EFFECTUAL
COMMUNICATION OF OUR FAITH:
IS
BY....
ili
kwamba ushirika wa imani yako ufanye kazi yake, katika ujuzi wa kila kitu chema
kilicho kwetu, katika Kristo. (FLM. 1:6).
That
the communication of thy faith may become effectual by the acknowledging of
every good thing which is in you in Christ Jesus.
IMPROVING YOUR SPIRIT: (Kumjenga mtu wa
ndani).
Read:Isaya
54:14;Rom 5:17.
-It
is important to know,the more I understand myself the more Effective I become.
-Acknowledging
every good thing that is in me...makes me to become effective.
.I am a new creation
Hata
imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita
tazama! Yamekuwa mapya. (2 KOR. 5:17).
.I am righeous and holy
mkavae
utu mpya, ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli. (EFE.
4:24)
.I am
an image and likeness of God.
Mungu
akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa
baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye
kutambaa kitambaacho juu ya nchi. Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano
wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. (MWA. 1:26, 27).
.I am created in Christ to do good works.
Maana
tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea
awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo. (EFE. 2:10).
IMPROVE
YOURSELF.
-If
you don't know about neutrition,hearth
And your growth will face challenges
Kama
watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili
kwa hayo mpate kuukulia wokovu; (1 PET. 2:2).
-Pia
hutakiwi uishie hapo,ujue sana neno la haki
Kwa
maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto
mchanga. (EBR. 5:13).
-Milk
of the Word
Kama
watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili
kwa hayo mpate kuukulia wokovu; (1 PET. 2:2).
-Meat
of the Word
Lakini
chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoezwa
kupambanua mema na mabaya. (EBR. 5:14).
-Honey
of the Word
Kicho
cha BWANA ni kitakatifu, Kinadumu milele. Hukumu za BWANA ni kweli, Zina haki
kabisa. Ni za kutamanika kuliko dhahabu, Kuliko wingi wa dhahabu safi. Nazo ni
tamu kuliko asali, Kuliko sega la asali. Tena mtumishi wako huonywa kwazo,
Katika kuzishika kuna thawabu nyingi. (ZAB. 19:9-11).
-Wine
of the Word
Tena
msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho; (EFE. 5:18)
Roho
ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyowaambia ni roho, tena
ni uzima. (YN. 6:63).
Kwa
maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa
kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia. Kwa maana haki ya Mungu
inadhihirishwa ndani yake, toka imani hata imani; kama ilivyoandikwa, Mwenye
haki ataishi kwa imani. (RUM. 1:16, 17).
Praying
in tongues:
Yeye
anenaye kwa lugha hujijenga nafsi yake;...(1 KOR. 14:4a).
Bali
ninyi, wapenzi, mkijijenga juu ya imani yenu iliyo takatifu sana, na kuomba
katika Roho Mtakatifu, (YUD. 1:20).
-Paul
said...
Namshukuru
Mungu ya kuwa nanena kwa lugha zaidi ya ninyi nyote; (1 KOR. 14:18).
-The
Bible says when I pray in tongue,my spirit prays...
Maana
nikiomba kwa lugha, roho yangu huomba,... (1 KOR. 14:14a)
-When
he prays,he utters deep things...
Maana
yeye anenaye kwa lugha, hasemi na watu, bali husema na Mungu; maana hakuna
asikiaye; lakini anena mambo ya siri katika roho yake. (1 KOR. 14:2).
Proccess:
1.Know
who baptises.
Kweli
mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana
nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza
kwa Roho Mtakatifu na kwa moto. (MT. 3:11.)
Hata
ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. Kukaja ghafula
toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba
yote waliyokuwa wameketi. Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za
moto uliowakalia kila mmoja wao. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema
kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka. (MDO 2:1-4).
2.Desire.
Hata
siku ya mwisho, siku ile kubwa ya sikukuu, Yesu akasimama, akapaza sauti yake
akisema, Mtu akiona kiu, na aje kwangu anywe. Aniaminiye mimi, kama vile
maandiko yalivyonena, mito ya maji yaliyo hai itatoka ndani yake. (YN. 7:37,
38.)
Kwa
maana nitamimina maji juu yake aliye na kiu, na vijito vya maji juu ya mahali
pakavu; nitamwaga roho yangu juu ya wazao wako, na baraka yangu juu yao
utakaowazaa; (ISA. 44:3).
3.Pray.
Hata
walipokwisha kumwomba Mungu, mahali pale walipokusanyika pakatikiswa, wote
wakajaa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri. (MDO 4:31).
Ombeni,
nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa; (MT.7:7.)
4.Receive
by faith.
-Thanksgiving
Na
mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti
kuu; (LK. 17:15).
Petro
alipokuwa akisema maneno hayo Roho Mtakatifu akawashukia wote waliolisikia lile
neno. Na wale waliotahiriwa, walioamini, wakashangaa, watu wote waliokuja
pamoja na Petro, kwa sababu Mataifa nao wamemwagiwa kipawa cha Roho Mtakatifu.
Kwa maana waliwasikia wakisema kwa lugha, na kumwadhimisha Mungu. (MDO
10:44-46).
Prayer:
1.
Grace for the hunger of the word.
.Others vitamin b
2.
Filled and being refilled
Baadhi ya washirika walishindwa kujizuia kwenye kipindi cha sifa nakujikuta wameshafika madhabahuni.
|
Comments
Post a Comment