IBADA YA JUMAPILI 26/10/2014

 Mama mchungaji Sosthenes akiongoza maombi ya shukrani
 Brother David akishuhudia jinsi kanisa lilivyonunua eneo la kuegesha magari na kuweka miradi mbalimbali
 Mtumishi Rovitha akitoa matangazo
 Pastor Sosthenes akifundisha katika ibada hiyo
 Chini;washirika wakifuatilia mafundisho 






Comments