IBADA YA JUMAPILI 5/10/2014
 Ndugu Hillary akishuhudia jinsi Bwana Yesu alivyo mponya na kutopata usingizi vizuri kwa muda wa miaka minne (ilikuwa akilala usiku,usingizi anaupata saa 11 alfajiri) na jinsi Mungu alivyotuma utisho mbele ya kesi iliyokuwa ikimkabili. Hii ni baada ya kupata maombi kutoka kwa mchungaji
Mchungaji akiombewa na washirika kabla ya Neno




Comments