IBADA YA JUMAPILI 16/11/2014
Mtumishi Michael Lukindo akimshukuru Mungu kwa kumrudisha salama toka Darfur.
Mtumishi Luckson na familia yake wakimshukuru Mungu kwa kubariki huduma na familia yao.
Mama mchungaji Sosthenes akiongoza maombi ya shukrani
Mtumishi John Thomas (JT) akitoa Neno la sadaka
Mtumishi Amani akitoa matangazo |
Mchungaji Sosthenes akihudumu katika ibada hiyo
Mchungaji akisalimiana na baadhi ya washirika baada ya ibada.
Comments
Post a Comment