IBADA YA SHUKRANI - 30/11/2014
Habari kwanjia ya picha
 |
Pastor Sosthenes Christopher akihudumu katika ibada ya shukrani. Picha chini, washirika wakifuatilia mafundisho kwa makini. |
 |
Maigizo pia yalipewa nafasi,picha chini waumini wakifurahia maigizo
|
 |
Mchungaji Sosthenes akiwatambulisha waimbaji wa kundi la Mungu kwanza
| | | | | |
Mama mchungaji akikata keki ya miaka tisa ya huduma, picha chini, Mchungaji akishiiki kukata keki
Picha juu na chini, Mchungaji akiwalisha keki baadhi ya viongozi wa vikundi ndani ya kanisa.
Washirika wakiangalia documentary fupi ya historia ya huduma.
Comments
Post a Comment