IBADA YA JUMAPILI 14/12/2014 ILIYO ONGOZWA NA WABABA
Mtumishi Edmund akihudumu
Picha juu na chini; kipindi cha sifa na kuabudu
Baba Esther akishuhudia jinsi Mungu alivyomkomboa mtoto wao na roho ya mauti
Picha juu na chini; Kijana Emmanuel akimshukuru Mungu kwa kumponya kichaa. Hapa anaonekana akitoa zawadi kwa watumishi
Mchungaji Sothenes akimkumbatia kijana Emmanuel akimshukuru kwa zawadi aliyowapa
Picha juu na chini;Maigizo pia yalipewa nafasi
Comments
Post a Comment