IBADA YA JUMAPILI 28/12/2014
Picha chini; Mchungaji Sosthenes akihudumu, ibada hii iliambatana pia na kuwabatiza,kuwabariki na kuwakabidhi vyeti vijana kumi na saba waliohudhulia mafunzo ya Pre-Youth Training Course yaliyofanyika hapa kanisani, baada ya mafunzo hayo, vijana hawa walifanya mitihani, vijana wanne walipata ufaulu wa daraja A,vijana kumi na mbili walipata ufaulu wa daraja B na mmoja alipata ufaulu wa daraja C. Vijana wote 17 walitunukiwa vyeti baada ya kufanya vizuri.



Picha chini; Mtumishi akichukua taswira
Familia ya Baba na Mama Peter wakimshukuru Mungu kwaajili ya afya ya mama Peter
Mchungaji akifanya maombi kwa vijana waliohitimu mafunzo
Mchungaji akiwapongeza vijana waliohitimu mafunzo
Picha juu na chini;Mchungaji akiwakabidhi vijana waliohitimu mafunzo hayo maalum vyeti




Picha juu na chini;Vijana waliohitimu wakiimba wimbo maalum


Mchungaji na mama mchungaji katika picha ya pamoja na wahitimu



Comments