IBADA YA JUMAPILI 25/1/2015
Pastor Sosthenes Christopher akihudumu katika ibada hiyo. Picha chini,waumini wakifuatilia mafundisho kwa umakini.
Mama akimshukuru mchungaji kwa maombi baadaya ya kuponywa na nguvu za giza zilizomsumbua kwa kipindi kirefu. |
IBADA YA HITIMISHO LA MAOMBI YA MFUNGO WA SIKU 21
Picha chini, Pastor Sosthenes akiendesha ibada ya feet washing katika hitimisho la maombi ya mfungo wa siku 21
Comments
Post a Comment