IBADA YA JUMAPILI 1/3/2015
Habari kwanjia ya picha
Habari kwanjia ya picha
Picha Juu na chini;Mama Joshua na familia yake akimshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyomfanyia kwa kupitia maombi ya mtumishi mahali hapa. Baada ya kukaa muda mrufu bila ya kupata mtoto,Mungu amempa watoto wawili sasa (Joshua na Justice), alikuwa anasumbiliwa na vyura nyumbani kwake, wale vyura wametoweka baada ya maombi.
Mtumishi wa Mungu Rose Mhando akitoa neno la sadaka
Life givers wakihudumu
Picha juu na chini; Pastor Sosthenes akihudumu katika ibada hiyo.
Comments
Post a Comment