IBADA YA JUMAPILI 29 FEB 2015
IBADA YA HITIMISHO LA JUMA LA VIJANA
IBADA YA HITIMISHO LA JUMA LA VIJANA
Utaratibu wa makundi katika kanisa (yaani kundi la wababa,wamama,vijana na watoto) kuwa na juma la kuhudumu (ibada ya jumatano,ibada ya maombi ya ijumaa na ibada ya jumapili) umezidi kuleta chachu katika huduma,hili limejidhilisha katika ibada ya jana iliyo ongozwa na vijana. Mungu ameweka kitu kikubwa kwa vijana, wanapaswa wapewe nafasi ili kutumia taranta zao. Mungu ambariki mchungaji na uongozi wa kanisa kwa kuweka utaratibu huu.
Mtumishi Joseph Katongo akihudumu. Chini vijana wakihudumu katika matukio mbalimbali
Mtumishi Gayos akitoa neno la sadaka
Mtumishi Miriam akisoma matangazo
Mchungaji akipokea zawadi kutoka kwa mwenyekiti wa vijana
Mchungaji akiwapongeza vijana kwa kufanya vizuri. Picha chini,mchungaji akiwapongeza Mr & mrs Modest kwa kuamua kubariki ndoa yao,ndoa hii itabarikiwa hapa kanisani mwisho wa mwezi Aprili
Baadhi ya vijana wakiwa na mtumishi John Thomas (a.k.a JT)
Mtumishi Miriam akisoma matangazo
Mchungaji akimpongeza Mtumishi Joseph baada ya mahubiri. Picha chini, maigizo nayo yalipata nafasi |
Mchungaji akiwapongeza vijana kwa kufanya vizuri. Picha chini,mchungaji akiwapongeza Mr & mrs Modest kwa kuamua kubariki ndoa yao,ndoa hii itabarikiwa hapa kanisani mwisho wa mwezi Aprili
Mchungaji kwenye picha ya pamoja na vijana baada ya ibada |
Comments
Post a Comment