Pastor Sosthenes akihudumu katika ibada hiyo |
SOMO: MIMI NI MTU MPYA KATIKA KRISTO
Kilichopotea
katika Adamu wa kwanza,Adamu wa pili alikirejeza.
Nao
waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua
muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila
kabila na lugha na jamaa na taifa, ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu
wetu; nao wanamiliki juu ya nchi(UFU.5:9-10)
His
greating after resurrection was peace be unto you.
Ikawa
jioni, siku ile ya kwanza ya juma, pale walipokuwapo wanafunzi, milango
imefungwa kwa hofu ya Wayahudi; akaja Yesu, akasimama katikati, akawaambia,
Amani iwe kwenu. Naye akiisha kusema hayo, akawaonyesha mikono yake na ubavu
wake. Basi wale wanafunzi wakafurahi walipomwona Bwana. Basi Yesu akawaambia
tena, Amani iwe kwenu; kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi.
(YN. 20:19-21
SUV)
Jueni
ninyi nyote na watu wote wa Israeli ya kuwa kwa jina la Yesu Kristo wa
Nazareti, ambaye ninyi mlimsulibisha, na Mungu akamfufua katika wafu, kwa jina
hilo mtu huyu anasimama ali mzima mbele yenu. (MDO
4:10
SUV)
Na
mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwake Yesu kwa nguvu nyingi, na neema
nyingi ikawa juu yao wote. (MDO
4:33
SUV)
Nami
nilipomwona, nalianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa
kuume juu yangu, akisema, Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho, na aliye
hai; nami nalikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami
ninazo funguo za mauti, na za kuzimu. (UFU.
1:17-18
SUV)
When
He rose again,He brought unto us new life
Life
of peace and joy
Life
of power and authority
Life
of victory
Life
of impact
Life
of health and prosperity
Life
of full of answers to the woe of humanity
Life
of protection
Irresistable
life
Life
of example
NEW
LIFE INDEED.ABUNDANT LIFE.
There
is what is called"power of ressurection"
This
power that brought our Lord from the dead,will bring you out from anything.
Lakini,
ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye
aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali
ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu. (RUM.
8:11)
This
power is in you to help you manifest your kingship
Paul
said:
ili
nimjue yeye, na uweza wa kufufuka kwake, na ushirika wa mateso yake,
nikifananishwa na kufa kwake; (FLP.
3:10)
Knowledge
is very crucial here.
Lakini
nasema ya kuwa mrithi, wakati wote awapo mtoto, hana tofauti na mtumwa, angawa
ni bwana wa yote; (GAL. 4:1
SUV)
A
child is very limited to use his inheritance
And
you can know him easily by:
Nilipokuwa
mtoto mchanga, nalisema kama mtoto mchanga, nalifahamu kama mtoto mchanga,
nalifikiri kama mtoto mchanga; tokea hapo nilipokuwa mtu mzima, nimeyabatilisha
mambo ya kitoto. (1 KOR. 13:11
SUV)
We
must grow:
Basi,
wekeni mbali uovu wote na hila yote, na unafiki na husuda na masingizio yote.
Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili
yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu; (1
PET. 2:1-2
SUV)
Basi
tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo
alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi
tuenende katika upya wa uzima. Kwa maana kama mlivyounganika naye katika mfano
wa mauti yake, kadhalika mtaunganika kwa mfano wa kufufuka kwake; (RUM.
6:4-5
SUV)
Upo
upya wa uzima.This month we are going to learn about this truth,how our
brethren lived this life,what are the principles of this life.
Naye
Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake. Na tazama, pazia
la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hata chini; nchi ikatetemeka;
miamba ikapasuka; makaburi yakafunuka; ikainuka miili mingi ya watakatifu
waliolala; nao wakiisha kutoka makaburini mwao, baada ya kufufuka kwake,
wakauingia mji mtakatifu, wakawatokea wengi. (MT.
27:50-53
SUV)
Mtumishi Levi akihudumu
The Family Group wakihudumu
Comments
Post a Comment