IBADA YA JUMAPILI APRILI 12, 2015
SOMO: MTU MPYA KATIKA KRISTO
God prophecied for man's salvation.
nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino. (MWA. 3:15 SUV).
Head- authority.
God's solution:
Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao. (ZAB. 107:20 SUV)
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli. (YN. 1:1, 14 SUV)
Salvation is the iniative of God Himself.
Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. (RUM. 10:9-10 SUV)
Salvation we receive is by faith of heart and mouth.
You become transformed to a new man
Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu. (YN. 20:22 SUV)
BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai. (MWA. 2:7 SUV)
Came to existence after Pentecost .life of God within,new class........... Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani. (YN. 5:24 SUV)
I have the nature of God .
Tena kwa hayo ametukirimia ahadi kubwa mno, za thamani, ili kwamba kwa hizo mpate kuwa washirika wa tabia ya Uungu, mkiokolewa na uharibifu uliomo duniani kwa sababu ya tamaa. (2 PET. 1:4 SUV).
God's nature makes you to escape...
Redeemed to reign again
Nothing is permitted to put me down.Lk 10:19
Nothing is permitted to happen without my permission Col 1:13
I AM REDEEMED:
.Repurchase what has been sold.
.To regain possession of a thing alienated by repaying the value of it to the possessor
-We are not our own
Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yen (1 KOR. 6:19-20 SUV)
Nanyi mfahamu kwamba mlikombolewa si kwa vitu viharibikavyo, kwa fedha au dhahabu; mpate kutoka katika mwenendo wenu usiofaa mlioupokea kwa baba zenu; bali kwa damu ya thamani, kama ya mwana-kondoo asiye na ila, asiye na waa, yaani, ya Kristo. (1 PET. 1:18-19 SUV)
I have been redeemed out of...Rev 5:8-12
I am not a victim but a victor
Satan don't fear me because of what I am but because of who bought me.
I AM RECONCELLED:
I have been reconcelled to God.
na kwa yeye kuvipatanisha vitu vyote na nafsi yake akiisha kufanya amani kwa damu ya msalaba wake; kwa yeye, ikiwa ni vitu vilivyo juu ya nchi, au vilivyo mbinguni. Na ninyi, mliokuwa hapo kwanza mmefarikishwa, tena adui katika nia zenu, kwa matendo yenu mabaya, amewapatanisha sasa; katika mwili wa nyama yake, kwa kufa kwake, ili awalete ninyi mbele zake, watakatifu, wasio na mawaa wala lawama; (KOL. 1:20-22)
He reconciled to Himself but also with all things.vs 20
Things are ordened to function in my hands
Kwani utakuwa na mapatano na mawe ya bara; Nao wanyama wa bara watakuwa na amani kwako. (AYU. 5:23 SUV)
Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo, naye alitupa huduma ya upatanisho; yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho. (2 KOR. 5:18-19 SUV)
I AM JUSTIFIED.
na kwa yeye kila amwaminiye huhesabiwa haki katika mambo yale yote asiyoweza kuhesabiwa haki kwa torati ya Musa. (MDO 13:39 SUV)
Is standing before God as you have not sinned
No sense of condemnation - be aware of sin concious .
Do righteous .
Watoto wadogo, mtu na asiwadanganye; atendaye haki yuna haki, kama yeye alivyo na haki; (1 YOH. 3:7 SUV)
Kama vile walivyosema watu wa kale katika mithali yao, Katika waovu hutoka uovu; ila mkono wangu hautakuwa juu yako. (1 SAM. 24:13 SUV)
SOMO: MTU MPYA KATIKA KRISTO
Pastor Sosthenes akihudumu katika ibada hiyo |
nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino. (MWA. 3:15 SUV).
Head- authority.
God's solution:
Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao. (ZAB. 107:20 SUV)
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli. (YN. 1:1, 14 SUV)
Salvation is the iniative of God Himself.
Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. (RUM. 10:9-10 SUV)
Washirika wakifuatilia mafundisho kwa umakini mkubwa |
You become transformed to a new man
Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu. (YN. 20:22 SUV)
BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai. (MWA. 2:7 SUV)
Came to existence after Pentecost .life of God within,new class........... Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani. (YN. 5:24 SUV)
I have the nature of God .
Tena kwa hayo ametukirimia ahadi kubwa mno, za thamani, ili kwamba kwa hizo mpate kuwa washirika wa tabia ya Uungu, mkiokolewa na uharibifu uliomo duniani kwa sababu ya tamaa. (2 PET. 1:4 SUV).
God's nature makes you to escape...
Redeemed to reign again
Nothing is permitted to put me down.Lk 10:19
Nothing is permitted to happen without my permission Col 1:13
Pastor Sosthenes akifanya maombi kwa watu wenye mahitaji mbalimbali. |
Maombi yakiendelea |
.Repurchase what has been sold.
.To regain possession of a thing alienated by repaying the value of it to the possessor
-We are not our own
Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yen (1 KOR. 6:19-20 SUV)
Nanyi mfahamu kwamba mlikombolewa si kwa vitu viharibikavyo, kwa fedha au dhahabu; mpate kutoka katika mwenendo wenu usiofaa mlioupokea kwa baba zenu; bali kwa damu ya thamani, kama ya mwana-kondoo asiye na ila, asiye na waa, yaani, ya Kristo. (1 PET. 1:18-19 SUV)
I have been redeemed out of...Rev 5:8-12
I am not a victim but a victor
Satan don't fear me because of what I am but because of who bought me.
Maombi yakiendelea |
I have been reconcelled to God.
na kwa yeye kuvipatanisha vitu vyote na nafsi yake akiisha kufanya amani kwa damu ya msalaba wake; kwa yeye, ikiwa ni vitu vilivyo juu ya nchi, au vilivyo mbinguni. Na ninyi, mliokuwa hapo kwanza mmefarikishwa, tena adui katika nia zenu, kwa matendo yenu mabaya, amewapatanisha sasa; katika mwili wa nyama yake, kwa kufa kwake, ili awalete ninyi mbele zake, watakatifu, wasio na mawaa wala lawama; (KOL. 1:20-22)
He reconciled to Himself but also with all things.vs 20
Things are ordened to function in my hands
Kwani utakuwa na mapatano na mawe ya bara; Nao wanyama wa bara watakuwa na amani kwako. (AYU. 5:23 SUV)
Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo, naye alitupa huduma ya upatanisho; yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho. (2 KOR. 5:18-19 SUV)
Kila uonevu wa adui kwa watu wa Mungu ulikomeshwa |
na kwa yeye kila amwaminiye huhesabiwa haki katika mambo yale yote asiyoweza kuhesabiwa haki kwa torati ya Musa. (MDO 13:39 SUV)
Is standing before God as you have not sinned
No sense of condemnation - be aware of sin concious .
Do righteous .
Watoto wadogo, mtu na asiwadanganye; atendaye haki yuna haki, kama yeye alivyo na haki; (1 YOH. 3:7 SUV)
Kama vile walivyosema watu wa kale katika mithali yao, Katika waovu hutoka uovu; ila mkono wangu hautakuwa juu yako. (1 SAM. 24:13 SUV)
IBADA HII ILIAMBATANA NA IBADA FUPI YA KUBARIKI NDOA YA
MR & MRS MODEST
Pastor akiziombea pete zao kabla ya kuvalishana.
Picha juu na chini, Mr.& Mrs Modest wakivalishana pete zao za ndoa
Juu;Mchungaji akiwaombea. Chini; wakisaini vyeti vya ndoa baada ya kubarikiwa
Comments
Post a Comment