IBADA YA JUMAPILI APRILI 19, 2015
SOMO:  MIMI NI MTU MPYA KATIKA KRISTO
UNDERSTANDING MAN'S MAKE-UP/KUELEWA MWANADAMU ALIVYOUMBWA.

Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana, (‭ZAB.‬ ‭139‬:‭14‬ SUV)

Man is in triune.

Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa; nanyi nafsi zenu na roho zenu na miili yenu mhifadhiwe mwe kamili, bila lawama, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo. (‭1 THE.‬ ‭5‬:‭23‬ SUV)

God made man in His own image.

Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. (‭1 YOH.‬ ‭5‬:‭8‬ SUV)

Essentially man is a spirit,

I am not the body,I am the spirit,I am not controlled by the body,the body is my house.

Spirit of man
Is a real man,It contains God's life,Is where we communicate with God.

Sin dis communicated man.

Without the spirit,soul and body can not function.

Reganarated spirit has names/mtu wa aloyeumbwa upya ana majina.
Inward man
Kwa hiyo hatulegei; bali ijapokuwa utu wetu wa nje unachakaa, lakini utu wetu wa ndani unafanywa upya siku kwa siku. (‭2 KOR.‬ ‭4‬:‭16‬ SUV)
Hidden man of the heart
bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu. (‭1 PET.‬ ‭3‬:‭4‬ SUV)
New man
mkavae utu mpya, ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli. (‭EFE.‬ ‭4‬:‭24‬ SUV)

mkivaa utu mpya, unaofanywa upya upate ufahamu sawasawa na mfano wake yeye aliyeuumba. (‭KOL.‬ ‭3‬:‭10‬ SUV)

Tabia(qulities)za mtu wa ndani:
Is the clothing beauty of the spirit.
Galatians 5:22
Love
na tumaini halitahayarishi; kwa maana pendo la Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yetu na Roho Mtakatifu tuliyepewa sisi. (‭RUM.‬ ‭5‬:‭5‬ SUV)

Joy
Peace
Long suffering -uvumilivu
Gentleness -utu wema
Goodness -fadhili
Faith-uaminifu
Meekness-upole
Temperance-kiasi

Yule mtoto akakua, akaongezeka nguvu, amejaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake. (‭LK.‬ ‭2‬:‭40‬ SUV)And the child grew, and waxed strong in spirit, filled with wisdom:and the grace of God was upon him.

Bishop Shemsanga akilisalimia kanisa
Muambie jirani yako:.........
Picha juu na chini, Bishop Shemsanga akiongoza wimbo wa sifa

HOW TO MAKE BEST TO COME OUT  OF YOUR SPIRIT:

STUDYING:
Jitahidi(study) kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli. (‭2 TIM.‬ ‭2‬:‭15‬ SUV)

If you don't want to see shame and reproach in your life,study.

Behand the excellence of Daniel was books.Daniel 9:2
Let us study.

Jesus was a studyious man.
Ikawa baada ya siku tatu wakamwona hekaluni, ameketi katikati ya waalimu, akiwasikiliza na kuwauliza maswali. Nao wote waliomsikia walistaajabia fahamu zake na majibu yake.

Akawaambia, Kwani kunitafuta? Hamkujua ya kuwa imenipasa kuwamo katika nyumba ya Baba yangu? (‭LK.‬ ‭2‬:‭46-47, 49‬ SUV)

Paul also:
Lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa, ujapo ulilete, na vile vitabu, hasa vile vya ngozi. (‭2 TIM.‬ ‭4‬:‭13

When you study,you will know something and what you will not question what you question now.

You will do right things in a right way.

MEDITATION:
Is a mental process of ideas
(mchanganuo).

Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku. Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa. (‭ZAB.‬ ‭1‬:‭1-3‬ SUV)

Pick a scripture and begin to think about it
Meditation is digestion,to make the spirit man assumulate life in the word.

Uyatafakari hayo; ukae katika hayo; ili kuendelea kwako kuwe dhahiri kwa watu wote. (‭1 TIM.‬ ‭4‬:‭15‬ SUV)
Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana. (‭YOS.‬ ‭1‬:‭8‬)

PRAYING AND SINGING IN THE SPIRIT:
Bali ninyi, wapenzi, mkijijenga juu ya imani yenu iliyo takatifu sana, na kuomba katika Roho Mtakatifu, (‭YUD.‬ ‭1‬:‭20‬ SUV)

Paul said:
Maana nikiomba kwa lugha, roho yangu huomba,... Imekuwaje, basi? Nitaomba kwa roho, tena nitaomba kwa akili pia; mtaimba kwa roho, tena nitaimba kwa akili pia. (‭1 KOR.‬ ‭14‬:‭14-15‬ SUV)
Namshukuru Mungu ya kuwa nanena kwa lugha zaidi ya ninyi nyote; (‭1 KOR.‬ ‭14‬:‭18‬ SUV)

PRAISE AND WORSHIP:
Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru. Nchi imetoa mazao yake MUNGU, Mungu wetu, ametubariki. Mungu atatubariki sisi; Miisho yote ya dunia itamcha Yeye. (‭ZAB.‬ ‭67‬:‭5-7‬ SUV)

FASTING:
When I fast,it changes me,It removes obstracles for my faith to move.

When you fast with understanding great results happen.

Is the greater exercise of spiritual life.
bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia. (‭ISA.‬ ‭40‬:‭31‬ SUV)

WALKING IN LOVE:
1Cor 13

When you miss it,it stagnates all you do.
Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno, wala kutokutahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo. (‭GAL.‬ ‭5‬:‭6‬ SUV)

SHARING THE WORD OF TESTIMONY:
Nafsi ya mtu mkarimu itawandishwa; Anyweshaye atanyweshwa mwenyewe. (‭MIT.‬ ‭11‬:‭25‬ SUV)

KEEPING QULITY COMPANY:
Chuma hunoa chuma; Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake. (‭MIT.‬ ‭27‬:‭17‬ SUV)

QULITY RELATIONSHIP WITH GOD:
That is intimacy.

Na wao wafanyao maovu juu ya hilo agano atawapotosha kwa maneno ya kujipendekeza; lakini watu wamjuao Mungu wao watakuwa hodari, na kutenda mambo makuu. (‭DAN.‬ ‭11‬:‭32‬).

Comments