IBADA YA JUMAPILI MEI 10, 2015
Pastor Sosthenes akifundisha katika ibada hiyo
 Life Givers wakihudumu katika kipindi cha kusifu na kuabudu
 Viti havikuweza kukalika,kipindi cha sifa kikiendelea
 Mama Mchungaji akiongoza maombi ya kumshukuru Mungu
 Mtumishi Alphonce akishuhudia matendo makuu ya Mungu katika kazi yake
 Mtumishi Gayos akitoa Neno la sadaka
 Mtumishi Doroth akisoma matangazo
 Pastor akimuweka wakfu mtoto kwa Bwana

Comments