IBADA YA JUMAPILI 31/5/2015
Pastor John Bunyan (kutoka Mbeya) akihudumu katika ibada hiyo
Washirika wakifuatilia mahubiri
The family group wakihudumu
Pafii band wakihudumu
Viti vilikuwa havikaliki katika ibada hiyo,picha juu na chini kinamama wakimchezea Mungu kwa furaha

Kinababa nao hawakubaki nyuma





Comments