IBADA YA JUMAPILI 7/6/2015
Pastor Sosthenes akifundisha katika ibada hiyo. Picha chini,washirika wakifuatilia mafundisho kwa umakini |
Kipindi cha kusifu na kuabudu,viti vilikuwa "vyamoto"
Ilikuwa ni siku ya furaha,pale Elisha na Elizabeth walipotangaza uchumba wao rasmi. Picha juu na chini ni matukio wakati wakitangaza "nia" na kuvalishana pete ya uchumba. Ilikuwa ni changamoto kwa Senior bachelors.
MC Katala akiwaongoza "watangaza nia" kuvalishana pete ya uchumba.
Pastor Sosthenes na mama Pastor wakiwaombea.
Comments
Post a Comment