IBADA YA JUMAPILI 26/7/2015
 |
Pastor Sosthenes akifundisha katika ibada hiyo. Picha chini,washirika wakifualitia mafundisho |
Life givers wakihidimu.
Brother Geoffrey Kegode toka Mombasa akiimba katika ibada hiyo.
Picha chini na juu: Baadhi ya washirika wakisalimiana na Mchungaji baada ya ibada.
Comments
Post a Comment