Sunday Service May 1, 2016
Brother Alistides akishuhudia jinsi ambavyo Yesu amemponya mala baada ya kufanyiwa maombi na mchungaji. Katika ushuhuda wake, Alistides ambaye anatokea Bukoba, amekuja Dar es Salaam kwaajili ya matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili,alikuwa akisumbuliwa na ugojwa ambao amepita kwa matabibu wengi pamoja na waganga wa kienyeji tangu mwaka 2006, miaka kumi iliyopita na kutumia zaidi ya milioni kumi bila kupata nafuu yoyote,anasema kunakitu kulikuwa kinavuta kutokea tumboni hadi kifuani,ulikuwa mzigo mzito mno. Mala baada ya maombi yaliyochukua taklibani dakika kumi,tatizo lililomsumbua kwa muda wa miaka kumi lilitoweka, na sasa nimzima kabisa. Anajiandaa na safari ya kurudi Bukoba. YESU ANAWEZA YOTE
 Mtumishi Joshua "akiwapa salam zao" sikiliza clip hii katika ac ya face-book life-giving-church



Pastor Sosthenes akiiweka wakfu CD ya mtumishi Levy

Comments